Mbabe wa vita nchini Libya aalikwa na rais Macron Ufaransa

Khalifa Haftar aalikwa na rais Emmanuel Macron  nchini Ufaransa

Mbabe wa vita nchini Libya aalikwa na rais Macron Ufaransa


Khalifa Haftar aalikwa na rais Emmanuel Macron  nchini Ufaransa.

Mbabe wa kivita nchini Libya Jenerali Haftar ambae  hatambuliki kimataifa imealikwa na rais Emmanuel Macron  nchini Ufaransa.

Kulingana na taarifa zilizotolewa na ofisi za Haftar Benghazi , Haftar alikutana na kuzunguza na  mkurugenzi anaehusika na kitengo  kinachohusika na masuala ya Mashariki ya Kati  na Afrika Kaskazini katika wizara ya mambo ya nje Ufaransa Christophe  Farno.

Haftar na Farno walizungumza kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi .

Christophe Farno amemkabidhi mualiko Jenerali Haftar mualiko kutoka kwa rais Macron, mualiko ambao anatarajiwa kwenda nchini Ufaransa.Habari Zinazohusiana