Rais Erdoğan ampokea kuhani mpya wa kanisa la Armenia Uturuki

Rais wa Uturuki ampokea kuhuni mpya wa kanisa la waarmenia Sahal Mashalyan akiwa na waziri wa mambo ya nje

Rais Erdoğan ampokea kuhani mpya wa kanisa la Armenia Uturuki
çavuşoğlu maşalyan.jpg


Rais Erdoğan ampokea kuhani mpya wa kanisa la Armenia Uturuki.

Rais wa Uturuki ampokea kuhuni mpya wa kanisa la waarmenia Sahal Mashalyan akiwa na waziri wa mambo ya nje.

Recep Tayyıp Erdoğan ampokea kuhuni mpya wa kanisa ya waarmenia Sahak Mashalyan akiwa na na waziri wa mambo ya nje Mevlüt Çavuşoğlu .

Kuhani huyo ni kuhani wa  85 wa waarmenia Uturuki.

Mapokezi ya kuhani  huyo  yamefanyika bila ya wanahabari kuhudhuria.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki MevlÜt Çavuşoğlu  baada ya  mapokezi hayo aliandika ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter  akisema kuwa anataraji ushirikiano wenye maslahi kwa Uturuki na waarmenia.

Mevlüt amesema kuwa Uturuki ni taifa lenye utajiri wa kitamaduni na wenye maridhiano katika ukanda.
 Habari Zinazohusiana