Watalii  milioni 43  wametembelea Uturuki mwaka  2019

Kitengo kinachohusika na takwimu nchini Uturuki kimefahamisha kwamba watali zaidi ya miloin 4 wametembelea Uturuki mwaka  2019

Watalii  milioni 43  wametembelea Uturuki mwaka  2019


Kitengo kinachohusika na takwimu nchini Uturuki kimefahamisha kwamba watali zaidi ya miloin 4 wametembelea Uturuki mwaka  2019.

Watali zaidi ya milioni 4  katika kipindi cha miezi  11 ya mwisho ya mwaka 2019 wamtembelea Uturuki kimefahamisha kitengo cha Uturuki kinachohusika na takwimu.

Idadi  hiyo ya watali  nchini Uturuki imeongezeka kwa asilimi 14,2 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka  2018.

Uturuki ina vivutio tofauti ambavyo ni vivutio kwa watalii katika pembe zake nne ikiwemo pia miji inayopatikana katika maeneo ya bahari ya Mediterania na bahari Nyeusi.

Maeneo ya kihistoria pia ni kiivutio kikubwa kwa watalii.

Waziri wa utalii na utamaduni wa Uturuki amepeperusha katika ukurasa wake wa Twitter Jumatatu  taarifa ambayo inazungumzia  idadi ya watalii waliongia Uturuki kufikia Novemba  2019.
 Habari Zinazohusiana