Edirne kumenoga

Watalii kutoka Ugiriki na Bulgaria wamininika katika kusheherekea sikukuu ya Noeli

1328993
Edirne kumenoga

Huko Edirne, shughuli zimekuwa nyingi kufuatia watalii kutoka na Ugiriki na Bulgaria kumiminika katika kusheherekea sikukuu ya Noeli “Christmas”

Mkurugenzi wa Taasisi ya Viwanda na Biashara ya Edirne, Recep Zipkinkurt alisema,

“Hoteli zimejaa, maeneo ya burudani na migahawa yamekuwa na shughuli nyingi kutokana na sikukuu za Noel na mwaka mpya. Milango ya kuingilia nchini nayo imekuwa na shughuli nyingi kupita kiasi, Hivi sasa katika hoteli, hakuna nafasi”.

Zipkinkurt alieleza kwamba inatarajiwa watalii kutoka mataifa mengine kati ya elfu 12 na elfu 13 kutembelea mji wao katika sikuu hizi za Noel na mwaka mpya.

 Habari Zinazohusiana