Kiwango cha mauzo ya nje ya Uturuki yaongezeka

Kiwango cha mauzo ya nje ya bidhaa kutoka Uturuki chaongezela kwa asilimia 1,7

Kiwango cha mauzo ya nje ya Uturuki yaongezeka

 

Kiwango cha mauzo ya nje ya bidhaa kutoka Uturuki chaongezela kwa asilimia 1,7.

Kiwango cha mauzo ya nje ya bidhaa kutoka nchini Uturuki katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Novemba mwaka 2019.

Kiwamngo hicho kulingana na takimu ni kwamba sekta ya uchumi imeingiza kiwango cha dola milioni 16,212 Novemba mwaka 2019.

Taarşfa kamili kuhusu kiwango hicho kilichoongezeka katika sekta ya uchumi Uturuki imetolewa na waziri wa biashata Ruhsar Pekcan Jumatatu katika mkutano na wanahabari uliofanyika mjini Istanbul.

Wizara ya biashara ya Uturuki imefahamisha kuwa kiwango cha mauzo ya nje mwaka 2019 hadi kufikia Novemba imefikia kiwango cha dola milioni 16,214 na kufikiwa asilimi 1,77 kwa mwaka.


 Habari Zinazohusiana