Rais Putin kufanya ziara nchini Uturuki

Rais wa Urusi Vladimir Putin kufanya ziara rasmi nchini Uturuki

Rais Putin kufanya ziara nchini Uturuki


Rais wa Urusi Vladimir Putin kufanya ziara rasmi nchini Uturuki.

Rais wa Urusi atarajiwa kufanya ziara nchini UTuruki ifikapo Januari  8 mwaka  2020.

Msemaji wa Vladimir Putin, Dmityrir Peskov  amesema kwamba rais Putin atazungumza na rais wa Uturuki kuhusu masuala tofauti katika ziara yake UTuruki Januari.

Katika mazungumzo yao , masuala tofauti  ya ushirikiano kati ya UTuruki na Urusi yatajadiliwa ikiwemo pia hali inayoendelea katika ukanda.
 Habari Zinazohusiana