Hali ya uchumi nchini Uturuki

Uchumi wa Uturuki umekua kwa asilimia 0.9 katika robo ya tatu ya mwaka.

Hali ya  uchumi nchini Uturuki

Uchumi wa Uturuki umekua kwa asilimia 0.9 katika robo ya tatu ya mwaka.

Kwa mujibu wa habari,pato la taifa hilo limeonekana kuongezeka mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana.

Kwa hivyo, uchumi wa Uturuki katika robo ya tatu ya mwaka huu umeongezeka kwa asilimia 0.9 ikilinganishwa na mwaka 2018.

Katika robo ya tatu ya mwaka huu, sekta ya kilimo imeongezeka kwa asilimia 3.8 na sekta ya viwanda imeongezeka kwa asilimia 1.6 ikilinganishwa na kipindi kama hicho cha mwaka uliopita.

Uchumi katika sekta ya biashara, usafirishaji, malazi na shughuli za huduma ya chakula, imeongezeka kwa asilimia 0.6.


Tagi: Uturuki , uchumi

Habari Zinazohusiana