Video ya wizara ya ulinzi kuhusu  maadhimisho ya Novemba 10

Wizara ya ulinzi ya Uturuki ameandaa video maalumu ambayo  inazungumzia jumba la makumbusho n na kaburi la baba wa taifa la Uturuki

Video ya wizara ya ulinzi kuhusu  maadhimisho ya Novemba 10


Wizara ya ulinzi ya Uturuki ameandaa video maalumu ambayo  inazungumzia jumba la makumbusho n na kaburi la baba wa taifa la Uturuki ,  kifo cha Mustafa Kemal Atatürk baada ya miaka  81.
Wizara ya ulinzi ya Uturuki imesema katika vide hiyo kuwa mamilioni ta watu  hutebelea kaburi la baba wa taifa Mustafa Kemal Atatürk  Anıtkabir kila mwaka.
Picha za kupendeza zinaonekana katika barabara ambayo hutumiwa katika  matamasha rasmi inajulikana kwa jina la "Aslanlı Yol" neno la kturuki ambalo linarafsiriwa kama "barabara ya simba" .
katika eneo lama mita  262, kunapatikana sanama za wanawake watatu  na wanamume watatu.
Masanamu hayo ni ishara ya  maumivu ambayo yalifuatia baada ya kuondoka kwa  baba wa taifa la Uturuki  Atatürk.
Kunapatikana masanama 24 ya simba na masanamu ya  simba ya himaya ya jamii ya wahititi.
Masanamu hayo yanaonesha ukubwa wa  tamaduni za Anatolia na umuhimu wa Atatürk katika historia. 
Simba hizo ni ishara ya  ya imani ya mitolojia na utaratibu wa Uturuki. 
Uturuki ni ardhi ya amani. Jambao ambalo linaonesha kuwa ni kwanini bendera ya Uturuki haikuguswa na na kufikia uhuru wake.
Katika video hiyo tunashuhudia  masanamu ya simba watano  pembezoni mwa barabara yaliopangwa kwa kuzingatia  jiometria.Habari Zinazohusiana