Zaidi  ya wahamiaji  4000 wamekamatwa Uturuki

Zaidi ya wahamiaji haramu zaidi ya  4000 wamekamatwa  kwa muda wa wiki moja mkoani Edirne Uturuki

1259124
Zaidi  ya wahamiaji  4000 wamekamatwa Uturuki

 

 Zaidi ya wahamiaji haramu zaidi ya  4000 wamekamatwa  kwa muda wa wiki moja mkoani Edirne Uturuki.

Zaidi ya wahamiaji haramu  4000 wamekamatwa  na jeshi la Polisi kwa muda wa wiki moja mkoani Edirne .

Mkoa wa Edirne unapatika Kaskazini-Magharibi mwa Uturuki katika mpaka kati ya Uturuki, Bulgaria na Ugiriki.

Miongoni mwa wahamiaji waliokamatwa wengi wao ni kutokan nchini Afghanistani na Pakistani.

Wizara ya uhamiaji nchini Uturuki kwa ushirikiano najeshi la Polisi katika zaezi la kupambana na uhamiaji haramu  imefahamisha kuzidisha doria.

Wahamiaji haramu 3899 wamekamatwa Juma lililopita mkoani Edirne.

Vyombo vya usalama vya Uturuki  vimesema kuwa   Ugiriki inakwenda kinyume na makubaliano ya Geneva  kuhusu haki za binadamu  ya Umoja wa Mataifa  kwa kuwatendea vitendo vya unyanyasaji wahamiaji na kuwarejesha nchini Uturuki  kupitia mto Maritsa.Habari Zinazohusiana