Rais wa Belarusi na ziara yake rasmi nchini Uturuki

Rais wa Belarusi Alexandr Lukashenko apokelewa na rais Erdoğan  katika ziara yake rasmi nchini Uturuki

Erdogan-Lukasenko1.jpg


Rais wa Belarusi Alexandr Lukashenko apokelewa na rais Erdoğan  katika ziara yake rasmi nchini Uturuki.

Alexandr Lukachenko  rais wa Belarusi apokelewa na rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  katika zaira  yake rasmi Jumanne.

Baada ya  kupokelewa  nchini Uturuki  rais wa Belarusi na rais wa Uturuki  mwenyeji wake  walizungumza kuhusu ushirikiano kati ya mataifa yao mawili.

Kulingana na taarifa ziliztolewa na kitengo kinachohusika na upashaji habari ikulu mjini Ankara, rais  Erdoğan na rais wa Belarusi watajadidili masuala muhimu  katika sekta tofauti  kwa ushirikiano.

Suala zima kuhusu  hali inayoendelea katika ukanda imejadiliwa kati ya rais Erdoğan na Alexandr Lukashenko.Habari Zinazohusiana