Rais wa Belarus kufanya ziara Uturuki

Rais wa Belarus Alexander Lukashenko,kwa mwaliko wa Rais Recep Tayyip Erdoğan anatarajia kufanya ziara rasmi nchini Uturuki.

Rais wa Belarus kufanya ziara Uturuki

Rais wa Belarus Alexander Lukashenko,kwa mwaliko wa Rais Recep Tayyip Erdoğan anatarajia kufanya ziara rasmi nchini Uturuki.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Wizara ya Rais ya Mawasiliano, mazungumzo kati ya viongozi hao wawili yatafanyika wakati wa ziara, mahusiano kati ya Uturuki na Belarus yatajadşliwa upya na hatua muhimu zitachukuliwa kuboresha uhisano kati ya mataifa hayo mawili.

Mazungumzo hayo yatagusia pia maendeleo ya kikanda na kimataifa.

Kama njia ya kuboresha mahusiano kati ya mataifa hayo mawili,mikataba ya makubaliano tofauti itatiwa saini.
 Habari Zinazohusiana