Kiongozi wa YTB kujitahidi katika kudumisha mahusiano na Cyprus

Kiongozi wa YTB nchini Uturuki ,Abdullah Eren amesema kuwa atahakikisha anajitahidi katika kuimarisha mahusiano kati ya Uturuki na Cyprus.

abdullah eren.jpg
kktc iyilik festivali.jpg
kktc iyilik festivali.jpg
abdullah eren-mustafa akinci.jpg

Kiongozi wa YTB nchini Uturuki ,Abdullah Eren amesema kuwa atahakikisha anajitahidi katika kuimarisha utawi na mahusiano kati ya Uturuki na Cyprus.

Tamasha la Uzuri "liliandaliwa katika mikoa 8 ya Jamhuri ya Kituruki ya Kaskazini Cyprus (TRNC) kwa kushirikiana na Msingi wa eneo hilo.

Rais wa YTB Abdullah Eren amefanya mikutano mbalimbali katika Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus Kaskazini TRNC ndani ya upeo wa tamasha hilo.

Katika mkutano na Rais Mustafa Akıncı ,Eren pia alikutana na Waziri Mkuu Tufan Erhürman na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje Kudret Özersay. Wakati wa mikutano, fursa za ushirikiano zilizingatiwa na mawazo kuhusiana na mada hizo yametolewa.

Rais wa YTB Eren pia alishiriki katika  sherehe iliyopangwa ndani ya mfumo wa mpango huo, katika mfumo wa Sikukuu ya 63 ya Jamhuri ya Kituruki ya Kaskazini ya Cyprus  na 448 ya Jamhuri ya Kituruki ya Kaskazini ya Cyprus.

Katika sherehe hiyo, Rais Akıncı alimshukuru Rais wa OHR Eren kwa mchango wake kwenye tamasha hilo.

Eren Akizungumza katika ziara ya Cyprus kwa kuimarisha zaidi ya mahusiano na ustawi wa Cyprus na Uturuki alisema wao watajitahidi kufanya jitihada bora zaidi.

Eren vilevile amesema kuwa wanafanya kazi kwa wananchi wa Kituruki wanaoishi kote ulimwenguni.

Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus Kaskazini wana nafasi maalum sana kwetu. Wote wana maana katika sera za kigeni za Uturuki pamoja na shughuli za shirika letu. Kama taasisi, tulisema kuwa tunapaswa kuunga mkono 'Sikukuu za mambo mema' katika mikoa 8 ya TRNC kwa msaada wetu. Katika wakati ujao, tutafungua kizazi tofauti kwa Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus.Tutajitahidi kadri tuwezavyo kufanya kila tuwezalo katika kuimarisha zaidi mahusiano na ustawi wa Kituruki na Uturuki. Miradi mizuri zaidi itaendelea kuwa katika Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus Kaskazini.

 


Tagi: YTB , Cyprus , Uturuki

Habari Zinazohusiana