Askari wa Uturuki katika mpaka wa Syria

Magari ya jeshi ya Uturuk, yameongozana katika mpaka wa Uturuki na Syria.

Askari wa Uturuki katika mpaka wa Syria

Magari ya jeshi ya Uturuk, yameongozana katika mpaka wa Uturuki na Syria.

Magari hayo ambayo yalikuwa yamebeba silaha yamefika Hatay,kilomita chache kabla ya kuingia Syria.

Lengo la safari hiyo ni kuimarisha usalama katika mpaka wa Syria na Uturuki.

Tagi: silaha , Syria , Uturuki

Habari Zinazohusiana