Uturuki yalaani   makabaliano ya maafa nchini Mali

Uturuki kupitia wizara yake ya mambo ya nje imelaani vikali na kutoa mkono wa pole  baada ya makabiliano ya maafa nchini Mali

Uturuki yalaani   makabaliano ya maafa nchini Mali


Uturuki kupitia wizara yake ya mambo ya nje imelaani vikali na kutoa mkono wa pole  baada ya makabiliano ya maafa nchini Mali.
Uturuki kupitia wizara yake ya mambo ya nje imelaani vikali shmbulizi  dhidi ya kijiji kimoja Mopti nchini Mali ambapo watu zaidi  ya 120 wameuawa.
Taarifa ya kuskitisha imefahamisha kwa watu 134 wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliotokea  Mopti.
Wizara ya mambo ya nje ya Uturuki imetoa salam za rambirambi kwa familia za wahanga wa shambulizi hilo.
Watu waliojeruhiwa katika  tukio hilo bado hawajatambulika idadi yao kamili.
Kijiji cha Egossagou kimeshambuliwa na watu ambao hakujulikana na kuwaua wanawake  wajawazito na watoto.


Tagi: mauaji , Uturuki , Mopti , Mali

Habari Zinazohusiana