Siku kuu ya Nawruz mkoani Eskişehir Uturuki

Mkurugenzi wa  taasisi ya waturuki waishio   nje ya Uturuki  YTB  aadhimisha siku kuu ya Nawruz mkaoni Eskişehir

1168937
Siku kuu ya Nawruz mkoani Eskişehir Uturuki


 

Siku ya Nawruz ni moja ya sku za ktamaduni ambazo  husherekewa nchini Uturuki.

Mkurugenzi wa taasisi ya YTB taasisi ya waturuki waishio nje ya Uturuki  Abdullah Eren, makamu wa rais wa Uturuki Fuat Oktay0 muakilishi wa mkoa wa Eskişehir  Nabi Avcı,  kiongoni mkuu wa chuo kikuu cha  Anadolu mkoani humo Daktari Şafak Ertan Çomaklı, kurugenzi wa kituo cha taifa cha Redio  Ibrahim Eren na wawakilishi wengine  wa taasisi tofauti wameshiriki katika hafla maalumu ilioandaliwa  kwa ajili ya Newruz.

SIKU KUU YA NEWRUZ NI SIKU KUU YA URITHI ULIMWENGUNI

Siku kuu ya Nawruz husherekewa katika mataifa tofauti kuanzia Assia ya Kati,  katika mataifa ya Balkans, na maeneo mngine katika ukanda. Makamu wa rais wa Uturuki Fuat Oktay amesema kuwa siku kuu hiyo ni 

Siku kuu ya Nawruz ilianzishwa nchini Turkmenistn  na kwas asa imeorodheshwa katika  urithi wa kiamaduni ulimwengu wa jamii zinazozungumza lugha ya kituruki.

Tunafurahia kusherekea siku hii kutokana na umuhimu wake ktamduni katika umoja na furaha kwa ushirikiano nna ndugu zetu kutoka katika maeneo tofauti ulimwenguni.

Kwa mshikamano na udugu baina yaetu nanashrekea  siku hii  alitoa shukrani pia makamu wa rais wa Uturuki na mkurugenzi wa chuo  kikuu cha Anadolu mkoani Eskişehir kwa ushirikiano wake alionesha , kwa wawakilishi wa   taasisi ya waturuki waishio nje ya nchi.

Maandalizi ya siku kuu hiyo  hayakuwa ya kawaida kwa kuwa jamii tofauti zimekutanishwa na kuweza kufahamiana.

 

UTURUKI  INOMBA UWEPO WA NAWRUZ ULIMWENGUNI

Kiongozi wa waturuki waishi nje ya Uturuki  YTB Abdullah Eren kwa upande wake  amesema kuwa YTB malengo  yake ni kuweka pamoja watu kutoka katika  jamii taofauti na tmaduni tofauti ili kuwa  chanzo cha maelewano kuptia utamaduni.

YTB inapokea wanafunzi kutoka katika pembe zote za dunia   kwa ajaili ya ushirikiano. Kutokana na kuwa warithi wa Dola kubwa katika historia hata kama ardhi yetu ni  kilomita 784000 , Dola ya Uthamnia  tuna washirika wengi huku na kule hivyo basi ni vema kuwa kitu kimoja.

Hadi nje ya mipaka yetu tutabakia kuwa ndugu na ushirikiano utaendelea kwa kuwa ndio  ngao yetu sote pamoja.

 

 

 

 

 Habari Zinazohusiana