Uturuki haitoacha harakati zake za kuchimba mafuta Mediterania Mashariki

Rais Erdoğan aweka bayana kuwa Uturuki kamwe haitoacha harakati zake za uchimbaji mafuta Mediterania Mashairiki

Uturuki haitoacha harakati zake za kuchimba mafuta Mediterania Mashariki

Rais  Erdoğan aweka bayana kuwa Uturuki kamwe haitoacha harakati zake za uchimbaji mafuta Mediterania Mashairiki

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa kamwe Uturuki haitoacha hata mara moja  harakati zake za uchimbaji mafuta katika  bahari ya Mediterania Mashariki.

Hayo rais Erdoğan ameyazungumza akiwa katika  ufunguzi wa  bustani ya Karapürçek Köroğlu  Altındağ mjini Ankara.

Rais Erdoğan amejibiza  matamshi makali yanayotolewa dhidi ya Uturuki  kuhusu harakati za uchimbaji mafuta katika bahari ya Mediterania.

Uturuki itaendelea  kutetea haki na maslahi ya Uturuki  na rasimali mali zote katika ukanda  Uturuki ataendelea  kuomba kupigani haki zake.

Rais Erdoğan ameahidi  habari njema katika siku za usoni.Habari Zinazohusiana