Uturuki yajivuna kama nchi yenye mchango mkubwa NATO

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu amesema kuwa nchi yake ina mchango mkubwa kwa NATO.

Uturuki yajivuna kama nchi yenye mchango mkubwa NATO

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu amesema kuwa nchi yake ina mchango mkubwa kwa NATO.

Çavuşoğlu amezungumza hayo na kuitaka NATO kuonyesha ushirikiano mkubwa kwa Uturuki.

Uturuki kama nchi yenye mchango mkubwa kwa NATO,umeutaka muungano huo wa kujihami wa nchi za magharibi kuonyesha mshikamano katika masuala yote.

Hayo waziri Çavuşoğlu ameyazungumza katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa NATO unaofanyika Brussels.

Çavuşoğlu pia ameweza kukutana faragha na mawaziri wenzake wa Ujerumani,Uhispania,Italia,Rome na Iceland.

Tagi: NATO , Uturuki

Habari Zinazohusiana