Magaidi wanne wa PKK washambuliwa Iraq

Magaidi wanne wa PKK wameangamizwa Kaskazini mwa Iraq.

Magaidi wanne wa PKK washambuliwa Iraq

Magaidi wanne wa PKK wameangamizwa Kaskazini mwa Iraq.

Operesheni inayoendeshwa na jeshi la Uturuki dhidi ya magaidi kaskazini mwa Iraq imepelekea kuangamizwa kwa magaidi wanne wa PKK.

Kwa mujibu wa habari,magaidi hao wameangamizwa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywana jeshi la Uturuki katika maeneo tofauti.

Uturuki hutumia neno kuangamizwa wakiashiria kuuawa,kujeruhiwa au kujisalimisha kwa magaidi.

Uturuki imeahidi kupambana na ugaidi ndani na je ya mipaka yake.


Tagi: PKK , Iraq , Uturuki

Habari Zinazohusiana