Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Sabah : « Magaidi 14 wameanagmizwa wiki iliopita Uturuki »

Wizara ya mambo ya ndani ya Uturuki mefahamisha kuwa magaidi 14 wameangamizwa na jeshi katika operesheni zilizoendeshwa  wiki iliopita na jeshi la Uturuki.   Kwa upande mwingine , wizara ya mambo ya  nje  imesema kuwa katika operesheni zilizoendeshwa na jeshi la Uturuki ni takribani operesheni 2 836 katika Novemba 26 na Disemba 03,  watu wanaoshukiwa kuwa nachama wa kundi la PKK  na wengine  zaidi ya 538 wa  kundi la wahaini wa FETÖ, 17 Daesh wamekamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi na uchunguzi.

Hurriyet : «Kiwango  na takwimu Uturuki na mauzo" 

Takwimu ambazo zimetolewa kuhusu kupanda kwa bei za bidhaa mahitaji  Novemba  zimetolewa.  Kitengo  ambacho kinahusika na  takwimu  Uturuki kimfahamisha kuwa  bei za bidhaa muhimu ambazo ni mahitaji  zimepungua kwa asilimia 1,44. 

Vatan : «Helikopta aina ya Atak kutoka Uturuki  nchini Pakistani  »

Mkurugenzi wa Tusaş Tame Özmen amesema kuwa anayomatumaini kuwa   katika siku chache zijazo atapewa ruhusa ya  kuunza helikoptaaina ya Atka kuelekea nchini Pakistani. Mkurugenzi huyo amezungumzia pia kuhusu  uvumi kuwa muda aliokuwa umepangwa kutolewa kwa helikopta hiyo umesogezwa mbele kwa siku kadhaa na kukanusha hilo. Özmen amesema kuwa  mpango uliopo  utatekelezwa  kama ilivyopangwa.

Yeni Safak : « Tamthilia za Uturuki zang ara  »

Kwa udhamini na usimamizi wa wizara ya utamaduni na utali Uturuki,  tamthilia kama  "Diriliş Ertuğrul", "Payitaht: Abdülhamid", "Bir Zamanlar Çukurova" na "Çukur"  zinawakilishwa na wataalamu  katika  maonesho ya ATF  Asia na TV Forum  nchini Singapour.  Tamthilia  hizo zinaoneshwa katika mataifa 150.

 Habari Zinazohusiana