Rais Putin awasili Istanbul katika hafla maalumu ya bomba la gesi TurkStream Uturuki

Rais Putin awasili Istanbul katika hafla maalumu ya bomba la gesi TurkStream Uturuki

Rais Putin  awasili Istanbul katika hafla maalumu ya bomba la  gesi TurkStream Uturuki

Rais wa Urusi Vladimir Putin amewasil mini Istanbul  nchini Uturuki  kushiriki hafla maalumu ilioandaliwa kwa aiji ya mradi wa bomba la gesi asilia Turkstrem.

Putin amepokelewa na  gavana wa Isatnbul  Ali Yerlikaya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Atatürk pamoja na balozi wa Urusi Alexei Erkhov na viongozi wengine wa ngazi za  juu serikalin.

 Hafla hiyo imehudhuriwa na  rais Erdoğan baada ya rais Putin kuwasili.

Mradi huo wa TurkStream utakuwa ukşsafirisha gesi asilia kupitia Uturuki kuelekea  katika mataifa ya Ulaya.Habari Zinazohusiana