Watu wawili wakamatwa wakishukiwa kufanya biashara haramu ya binadamu Uturuki

Watu wawili wakamatwa wakituhumiwa kuhusika na biashara haramu ya binadamu kwa kuwasafirisha wahamiai kinyume cha sheria Uturuki

1090224
Watu wawili wakamatwa wakishukiwa kufanya biashara haramu ya binadamu Uturuki

Wahamiaji haramu wapatao 56 wakamatwa   katika mikao miwili nchini Uturuki wakiwa katika harakati za kutaka kusafiri kinyume cha sheria kuingia barani Ulaya.

Wahamiaji hao wamekamatwa katika mkoa wa Edirne na Van Uturuki Jumapili.

Jeshi la Polisi  limefahamisha pia kuwakamata watu wawili ambao wanashukiwa kuhusika na maandalizi ya safari hiyo kwa malipo kutoka mkoani Edirne.

Mkaoni Edirne wahamiaji 18 wamekamatwa  karibu na mpaka kati ya Uturuki na Bulgaria.

Wahamiaji hao waliokamatwa ni raia kutoka nchini Pakistani na Bangladesh huku wahamiaji wengine kutoka Pakistani na Afghanistani wamekamatwa  Van katika mpaka kati ya Uturuki na Iran.Habari Zinazohusiana