Wahamiaji haramu 264 wakamatwa  mkoani Edirne nchini Uturuki

Wahamiaji haramu 264 wakamatwa na jeshi la Polisi la kulinda mipaka mkoani Edirne nchini Uturuki

1078464
Wahamiaji haramu 264 wakamatwa  mkoani Edirne nchini Uturuki


Wahamiaji haramu 264 wakamatwa na jeshi la Polisi la kulinda mipaka mkoani Edirne nchini Uturuki.

Wahamaiji haramu 264 waripotiwa kukumatwa na  kikosi cha kulinda usalama  mkoani Edirne.

Whamiaji hao wamekamatwa katika maeneo tofauti  Yenikadın, Bosnaköy, Lalapaşa, Uzunköprü wakiwa  katika mataarisho yao ya kuanza safari kuelekea barani Ulaya kwa kuvuka mpaka wa Uturuki kinyume cha sheria.

Wahamşaji hao waliokamatwa ni raia kutoka Pakistani, Irak, Iran , Afghanistani, Bangladesh, Algeria na Mamlaka ya wapalestina.Habari Zinazohusiana