Wahamiaji 150 wakamatwa mkoani Edirne Kaskazini-Magharibi mwa Uturuki

Wahamiaji haramu 150 wakamatwa mkoani Edirne wakijaribu kuvuka mpaka kuingia barani Ulaya kinyume cha sheria

1058890
Wahamiaji 150 wakamatwa mkoani Edirne Kaskazini-Magharibi mwa Uturuki


Wahamiaji haramu 150 wakamatwa mkoani Edirne Kaskazini-Magharibi mwa Uturuki wakijaribu kuvuka mpaka kati ya Uturuki na Ulaya kinyume na sheria.

Edirne ni mkoa wa Uturuki ambao unapean ampaka wa ardhini kati ya Ugiriki, Bulgaria na Uturuki.
Wahamiaji haramu hutumia  eneo hilo kuingia kinyume cha sheria katika mataifa hayo.

Wahamşaji hao wamekamatwa na kikosi cha kulinda mipaka  Bosnaköy, Sarayakpınar na Lalapaşa wakijiandaa kuanza safari yao kuingia barani Ulaya.

Wahamiaja  hao waliokamatwa ni raia kutoka nchini Pakistani, Irak, Afghanistani, Senegali, Palestina na Algeria.

Baada ya kukamatwa wahamaiji hao walipelekwa katika ofisi za uhamiaji  mkoani Edirne.



Habari Zinazohusiana