Wahamiaji haramu 13 wakamatwa Edirne Uturuki

Wahamiaji haramu 13 wakamatwa katika operesheni ilioendeshwa mkoani Edirne

1048884
Wahamiaji haramu 13 wakamatwa Edirne Uturuki

Wahamiaji haramu 13 wamekamatwa katika operesheni ilioendeshwa  mkoani Edirne. Edirne ni mkoa  unaopatika Kaskazini-Magharibi mwa Uturuki.

Wahamiaji haramu hutumia eneo  hilo kuingia kinyume cha sheria nchini Ugiriki na Bulgaria.

Kikosi cha kulinda mipaka kimewakamata wahamiai hao waliokuwa katika gari  katika kijiji ch Adasarhanlı mkoani Edirne. Wahamiaji hao raia kutoka nchini Irak akiwemo pia raia mmoja kutoka Pakistani.

 

 

 

 Habari Zinazohusiana