Uturuki yalaani shambulizi la kigaidi Mogadishu

Uturuki imelaani shambulizi  la kşgaidi lililotelekezwa mjini Mogadishu nchini Somalia

somalia'da
Turquia.jpg


Uturuki imelaani shambulizi  la kşgaidi lililotelekezwa mjini Mogadishu nchini Somalia.

Uturuki kupitia ofisi za wizara ya mambo ya  nje imelaani vikali shambulizi lililotekelezwa mjini Mogadishu Jumatatu.

Shambulizi hilo la kigaidi lilisababisha vifo vya watu 6 na kuwajeruhi wengine 16. 

Shambulizi hilo lilitekelezwa na  mtu aliejitoa muhanga akiwa katika garia ambalo lilikuwa limesheheni vilipuzi.Habari Zinazohusiana