Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Hürriyet : « Ibada ya misa  katika kanisa la Akdama baada ya miaka mitatu»

Misa ya kwanza katka kanisa la Akdmar  baada ya kufungwa miaka mtatu.  Kanisa hilo linapatikana  katika  kştongoji cha Gevas mkoani Van.  Waziri wa utamaduni na utalii Mehmet Nuri Ersoy amshiriki katika  misa ya ufunguzi ilioongozwa na askofu Aram Atesyan ambae anaongoza  kanisa la kiarmenia Uturuki.  Katika ufunguzi huo, askofu Sahak Mashlyan pamoja na Magakya Beşkisizyan wameshiriki katika ufunguzi huo. Watu kutoka maeneo tofauti wameshiriki pia katika misa hiyo ya ufunguzi.

Sabah : « Tuzo ya ubinadamu kwa Bi Emine »

Katika tamasha litakalofanyika  mjini London nchini Uingereza ifikapo Septemba 11, mke wa rais wa Uturuki Bi Emine Erdoğan atapewa tuzo ya  maalumu   kwa misaada ya kibinadamu . Tamasha ya tuzo hilo imeandaliwa na  baraza la watoa misaada  ulimwenguni. Tuzo hiyo itatoolewa kwa lengo la  kuhmiza  umuiya ya kimataifa  kutoa misaada kwa watu wanokumbwa na majanga hususani madhila yaliowakumbwa waislamu wa jamii ya Rohingya Myanmar.

Haber Türk : « Watalii zaidi ya milini 9,6  Antalya Uturuki ”

Watalii zaidi ya milioni  9,6 wametemebelea mjini Antalya nchini Uturuki. Watalii hao waliingia Uturuki kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa mjini Ankara. Kulingana na takwimu zilizotolewa inaonekana kwamba mjini wa Antalya Uturuki utavunja rikodi  ya watalii mwaka 2018.

Vatan : « Wachina  yavutiwa na zabibu kavu Uturuki»

Tume maalumu kutoka nchini China imewasili nchini Uturuki kwa ajili ya kununua zabibu kavu katika kampuni ya Taris.  Uchina ilikuwa ikinunua zabibu kavu kutoka nchini Marekani na imechukuwa hatua ya kuanza kununua zabibu hiyo kutoka nchini Uturuki.Habari Zinazohusiana