Waziri wa ulinzi wa Uturuki na wimbi jipya la wakimbizi kutoka Syria

Waziri wa  mambo ya ndani wa Uturuki azungumzia wimbi la wahamiaji iwapo kutaanzishwa  operesheni İdlib Syria

Waziri wa ulinzi wa Uturuki  na wimbi jipya la wakimbizi kutoka Syria

Waziri wa  mambo ya ndani wa Uturuki  Süleyman Soylu asema kuwa taifa lake  halihusiki na  wimbi kubwa la wakimbizi  kutoka Idlib iwapo kutaanzishwa opersheni

Süleyman Soylu, waziri wa mambo ya ndani wa Uturuki amesema kuwa Uturuki haitohusishwa  na  ujio wa wakimbizi na wahamiaji kutoka Idlib nchini Syria iwapo kutaanzishwa operesheni.

Hayo waziri wa mambo  ndani wa Uturuki ameyazungumza Jumapili akiwa  alipokuwa ametembelea kambi ya wakimbizi kutoka Syria inayoatikana  mkoani Hatay, Kusini mwa Uturuki.Habari Zinazohusiana