Shambulizi la PKK lasababisha vifo vya polisi 9 kusini mwa Uturuki

Shambulizi la PKK limesababisha vifo vya maafisa polisi 9 katika eneo la Hirkurk Kusini mwa Uturuki.

1025652
Shambulizi la PKK lasababisha vifo vya polisi 9 kusini mwa Uturuki

Shambulizi la PKK limesababisha vifo vya maafisa polisi 9 katika eneo la Hirkurk Kusini mwa Uturuki.

Kwa mujibu wa habari,magaidi hao walitega bomu katika eneo walilokuwa wakipita polisi hao.

Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya karibu.

Jeshi la Uturuki limetangaza kuendelea na operesheni dhidi ya ugaidi katika eneo hilo.

Kundi la PKK limekuwa likiiandama Uturuki kwa zaidi ya miaka 30 sasa. 

Tagi: #PKK , #Uturuki

Habari Zinazohusiana