Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan arejea nyumbani baada ya kushiriki katika mkutano wa NATO

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan arejea nyumbani baada ya kushiriki katika mkutano wa NATO uliokuwa ukifanyika mjini Brussels nchini Ubelgiji

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan arejea nyumbani baada ya kushiriki katika mkutano wa NATO

Rais  Erdoğan amereja nchini Uturuki baada ya kushiriki katğka mkutano wa NATO uliokuwa ukifanyika  mjini Brussels nchini Ubelgiji. Mkutano wa NATO nchini Ubelgiji umechukuwa muda wa siku mbili.

Rais Erdoğan amepokelea  na viongozi tofauti katilka uwanja wa ndege mjini Ankara.

Ndege iliokuwa ikimbeba rais Erdoğan iliwasili  katika uwanja wa ndege wa kimataifa mjini Ankara majira ya usiku Alkhamis .

Masuala tofauti ambayo yanahusu muungano wa jeshi la kujihami la Magharibi  yalizungumziwa ikiwa pamoja na suala la mapambano dhidi ya ugaidi.

 Habari Zinazohusiana