Binali Yıldırım achaguliwa kuwa spika wa bunge la Uturuki

Wzziri mkuu wa zamani wa Uturuki Binali Yıldırım achaguliwa kuwa msemaji wa bunge baada ya uchaguzi mkuu na wabunge Uturuki

Binali Yıldırım  achaguliwa kuwa spika wa bunge la Uturuki

Waziri mkuu wa zamani wa Uturuki Binali Yıldırım achaguliwa kuwa  msemaji wa bunge  baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Uturuki.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amempongeza Binali Yıldırım kwa kuchaguliwa kwake kuwa  msemaji wa bunge la Uturuki Alkhamis. Binali Yıldırım amechaguliwa kwa  kura 335 katika mzunguko wa tatu wa kura.

 Habari Zinazohusiana