Magaidi 17 wa PKK waangamizwa na jeshi la Uturukİ Mashariki mwa Uturuki

Jeshi la anga la Uturuki lawaangamiza magaidi 17 wa kundi la PKK katika operesheni  Mashariki mwa Uturuki

terorist para.jpg

Jeshi la anga la Uturuki lawaangamiza magaidi 17 wa kundi la PKK katika operesheni  Mashariki mwa Uturuki.

Jesh la Uturuki limeendesha operesheni dhidi ugaidi katika eneo la Osmanşye, Sırnak na Diyrabakir. Operesheni hiyo ilikuwa ikiwalenga magaidi wa kundi la PKK.

Makao makuu ya jeshi la Uturuki imeoa taarifa kuwa magaidi 17  wa PKK wamaenagizwa akiwemo mmoja miongoni mwa viaongozi wa kundi hilo anaetambulika kwa jina la Mehemt Goyi.

Silaha aina ya M16 na Kalachnikov 2 pamoja na vilipuzi vimekamatwa katika operesheni hiyo.

Gaidi Sefer Açar  alikuwa  akitafutwa na jeshi la Uturuki kwa kuhusika na shambulizi lililolenga helikopta  Novemba 27 mwaka 1998  Kaskazini mwa Irak  na kusababisha vifo vya  askari 15.

Gaidi hiyo alikutwa na fedha ambayo alichukwa kwa mmoja miongoni mwa wahanga waliouwa  Novemba 27 mwaka 1998. Gaidi alikuwa  na fedha tangu miaka 20 iliopita.

 

TRT avec AA


Tagi: PKK , ugaidi , Uturuki

Habari Zinazohusiana