Maendeleo katika utengenezaji wa  silaha Uturuki

Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii, mtafiti wetu Can ACUN anatulea tathmini yake  kutuka SETA.

Maendeleo katika utengenezaji wa  silaha Uturuki

 

Katika sekta ya utengenezaji wa silaha katika miaka kadhaa iliopita Uturuki imepiga hatua kubwa ikilinganishwa na ilivyokuwa hapo awali.

 Setka ya viwanda ikiwemo utengenezaji wa sialaha nchini Uturuki imepiga hatua kwa kuzalisha silaha  katilka ardhi ya Uturuki. Utengenezaji huo wa silaha  lengo lake bila shaka ni kuondoa  utegemezi nje ambao Uturuki  ilikuwa ikitumia kiwango kikubwa katika ununuzi wa sialaha kutoka nje.  Utengezaji wa silaha kwa Uturuki kwa mmoja pia unainua sekya ya uchumi  na siasa za nje za Uturuki kuingia katika taswira mpya.   Licha ya kuwa hapo awali  Uturuki ilikuwa katika hali ya kujitutua, mwaka 2002 chama cha AK Uturuki kilifaualu kupambana ili kufikia malengo yake ya maendeleo na kupiga hatua.  Kwa sasa  kuhusu utengenezaji wa sialaha, Uturuki imepiga hatua katika kipindi cha miaka  kumi na tano na jeshi la Uturuki  kufikia  hatua ilikuwa ikitarajiwa.

Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii, mtafiti wetu Can ACUN anatulea tathmini yake  kutuka SETA.

 Uturuki imepiga hatua kubwa katika utengezaji wa silaha .  Magari ya kivit yametengezwa Uturuki kutokana na hatua hiyo katika teknollojia  katika viwanda kwa ushirikiano na jeshi. Idara ya ulinzi  imeunda   vyombo tofauti vya kivita kwa teknolojia ya Uturuki ya kisasa, vyombo vya kivita vya kielektro niki,  mawasiliano, utafiti, rada na vyombo vingine vingi. Mafunzo pia ya namna ya kutumia vyombo hivyo yametolewa. Magari ambayo ya ulinzi wa kuzuia  risasi kama  KİRPİ, BMC EFE, KAYA, PARS, EJDER, EJDER YALÇIN, COBRA v na  URAL  yameundwa Uturuki. Vifaru pia vimeundwa  katika viwanda vya Uturuki.

Magari hayo ya kivita pia yanaweza kuuzwa nje ya Uturuki  kutokana na  kupasishwa kwake na  umahiri  yalioonesha katika kukabilana na mazingira magumu katika mapigano na vita. Magari hayo ya kivita yalitumiwa na Uturuki katika operesheni tofauti zilizoendeshwa dhidi ya ugaidi na kuonesha mafaanikio.  Magari hayo yanavutia mataifa tofauti kununua  nchini Uturuki. Ufanşsşi na umahiri wa magari hayo umeonekana kuwa zaidi ya  kipimo cha NATO.  Bei isiokuwa kubwa  na uzalishaji wake isiwe  sababu ya kufanya bidhaa kutoka Uturuli  zisipate nafasi katika soko la kimataifa.  Uturuki imepata siafa katika utengenezaji wa silaha , magari ya kivita na ndege.

Mgari ya kivita ya majina aina ya MİLGEM na helikopta za kivita aina ya ATAK ni vyombo ambavyo vimeundwa na  jeshi la Uturuki . Vyombo hivyo  vitaweka historia katika jeshi la Uturuki na mauzo yake nje ya mipaka ya Uturuki.  Mauzo ya je tayari yamekewisha onekana  kwa  jeshi la Pakistani kununua helikopta 30 aina ya ATAK kwa zaidi ya thamani ya dola  bilioni 1,5. Uturuki na Pakistani ni  mataifa ambayo yameonesha ushirikiano katika kuinua suala zima la uchumi. Baada ya  makubaliano kuhusu  helikopta hizo makubaliano mengine kuhusu mashua MİLGEM na Uturuki inaoneka kuwa itakuwa  mauzo ya nje makubwa kwa Uturuki katika sekta ya ulinzi  katika historia ya Uturuki.

Miongoni mwa hatua ambazo zimepigwa na jeshi la Uturuki katika vyombo vya kisasa ni  kuundwa kwa   kifaru kidogo kisichokuwa na dereva ambacho kilipewa jina la BAYRAKTAR. Maonesho ya mwaka 2018 ya vyombo vya kivita na ulinzi Qatar  DİMDEX, vifaru hivyo visivyokmuwa na rubani , viwili vilikabidhiwa Qatar.

Utengenezaji wa sialaha kwa ajili ya kuimarisha ulinzi  Uturuki  umepiga hatua kubwa.  Operesheni zilizoendeshw ana jeshi la Uturuki  Efratia na Tawi la mzaituni zilikuwa operesheni  muhimu kwa jeshi la Uturuki.

Sialaha zilizotengenezwa ndizo zilizotumiwa  katika operesheni za kupambana na wanamgambo wa makundi ya kigaidi kama Daesh , PKK na kundi la YPG. Silaha zilizokuwa na ubora katika uwanja wa mapambano  ndizo ambazo zimepelekea  jeshi la Uturuki kupata ushindia dhidi ya magaidi. Licha ya kuwa na makabiliano  makubwa kutoka kwa magaidi Syria  jeshi la Uturuki na sialaha madhubuti lililfaulu kuwaondoa magaidi hao .

Vyombo hivyo  vitaweka historia katika jeshi la Uturuki na mauzo yake nje ya mipaka ya Uturuki.  Mauzo ya je tayari yamekewisha onekana  kwa  jeshi la Pakistani kununua helikopta 30 aina ya ATAK kwa zaidi ya thamani ya dola  bilioni 1,5.

Uturuki na Pakistani ni  mataifa ambayo yameonesha ushirikiano katika kuinua suala zima la uchumi. Baada ya  makubaliano kuhusu  helikopta hizo makubaliano mengine kuhusu mashua MİLGEM na Uturuki inaoneka kuwa itakuwa  mauzo ya nje makubwa kwa Uturuki katika sekta ya ulinzi  katika historia ya Uturuki.

Utengenezaji wa sialaha kwa ajili ya kuimarisha ulinzi  Uturuki  umepiga hatua kubwa.  Operesheni zilizoendeshw ana jeshi la Uturuki  Efratia na Tawi la mzaituni zilikuwa operesheni  muhimu kwa jeshi la Uturuki.

Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii, mtafiti wetu Can ACUN anatulea tathmini yake  kutuka SETA.Habari Zinazohusiana