Uturuki yapokea ndege ya kwanza ya F-35 Marekani

Uturuki imepokea  ndege ya kwanza ya F-35 katika sherehe iliyofanyika Forth Worth, Texas.

Uturuki yapokea ndege ya kwanza ya F-35 Marekani

Uturuki imepokea  ndege ya kwanza ya F-35 katika sherehe iliyofanyika Forth Worth, Texas.

Uturuki imekuwa katika programu ya F-35 toka mwaka 1999.

Ndege hiyo ina uwezo bora kama vile sensorer za kisasa na mfumo wa rada ya juu.

Kwa mujibu wa habari ndege hiyo itakabidhiwa Arizona kwa ajili ya mafunzo ya marubani.

Ndege nyingine zinatarajia kumalizilka ifikapo Machi 2019.

Tagi: F-35 , Uturuki

Habari Zinazohusiana