Raia 22 kutoka Syria wakamatwa Uturuki

Wahamiaji haramu 22 kutoka Syria wakamatwa Edirne  wakijiandaa na safari yao kuelekea nchini Ugiriki

959131
Raia 22 kutoka Syria wakamatwa Uturuki

Wahamiaji haramu 22 kutoka Syria wakamatwa Edirne  wakijiandaa na safari yao kuelekea nchini Ugiriki. 
Wahamiaji haramu 22 kutoka Syria wakamatwa mkoani Edirne wakijiandaa kusafiri kinyume  cha sheria kuelekea nchini Ugiriki.
Kikosi cha Polisi mkoani Edirne kimekamata magari watano  ambayo yalishukiwa kusafirisha wahamiaji haramu waliokuwa wakştaraji kusafiri kuelekea nchini Ugiriki.

Baada ya kukamatwa wahamiaji hao walipelekwa katika kituo cha uhamiaji mkoani Edirne.Habari Zinazohusiana