Wahamiaji haramu 103 wakamatwa mkoani Edirne nchini Uturuki

Wahamiaji haramu 103 wakamatwa katika operesheni mkoani Edirne nchini Uturuki

951043
Wahamiaji haramu 103 wakamatwa mkoani Edirne nchini Uturuki


Wahamiaji haramu 103 waripotiwa kukamatwa na kikosi cha Polisi katika operesheni ilioendeshwa mkoani Edirne nchini Uturuki.

Wahamiaji hao  wamekamatwa wakati wakiwa katika harakati za l-kutaka kuvuka kimagendo mpaka wa Uturuki na Ugiriki.

Polisi iliendesha msako katika eneo la Bosnaköy, İpsala na Uzunköprü.
Wahamiaji waliokamatwa  walikuemo raia kutoka nchini Pakistani, Bangladesh, Algeria na Syria.Habari Zinazohusiana