Watu 13 wafariki katika ajali ya basi Uturuki

Watu 13 wafariki na wengine 42 wajeruhiwa katika ajali ya basi iliotokea mkoani Eskişehir nchini Uturuki

892835
Watu 13 wafariki katika ajali ya basi Uturuki

 

Basi la uchukuzi limefanya ajali la kusababisha vifo vya watu 13 na kuwajeruhi wengine 42 Jumamosi mkoani Eskişehir  nchini Uturuki.

Basi lililopata ajali lilikuwa safarini likielekea mkaoni Bursa kutoka mjini Ankara likipiti mkoani  Eskişehir.

Dereva wa basi hilo alipoteza muelekea na kwenda nje ya barabara.

Majeruhi walipelekwa katika hospitali zinazopatikana karibu na eneo la tukio.Habari Zinazohusiana