Wahamiaji 30 wakamatwa Magharibi mwa Uturuki

Wahamiaji haramu 30 wakamatwa Edirne Magharibi mwa Uturuki

814426
Wahamiaji  30 wakamatwa Magharibi mwa Uturuki

Wahamiaji haramu 30 wakamatwa Edirne Magharibi mwa Uturuki

Wahamiaji haramu zaidi ya 30 wakamatwa mkoani Edirine Magharibi mwa Uturuki wakijaribu kuvuka na kuelekea katika visiwa vya Ugiriki.

Wahamiaji hao ni wakimbizi kutoka Pakistani na Syria.

Wahamiaji hao walitaka kuvuka mpaka wa maji baina ya Uturuki na visiwa vya Ugiriki katika bahari ya Egean.

Kwwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kokosi cha kulinda mipaka kiliwakamata wahamiaji hao Jumanne asubuhi karibu na kijiji cha Uyuklutatar.

Baada ya kukamatwa kwa wahamiaji hao walikabidhiwa katika kituo cha wahamiaji mkoani humo.

 Habari Zinazohusiana