Idadi ya watalii kutoka Ujerumani yaongezeka Uturuki

Licha ya kuwepo kwa tofauti katika masuala ya siasa kati ya Ujerumani na Uturuki,watalii kutoka Ujerumani kuelekea Uturuki wameonekana kuongezeka mwaka huu ukilinganisha na miaka kumi na tatu iliyopita.

799706

Ripoti zilizotolewa na gazeti maridadi kabisa la uchumi nchini Sweden zimeonyesha kuwa watalii walioingia Uturuki kutoka  Ujerumani mwezi Julai imeongezeka kwa asilimia 46.

Kwa mujibu wa habari,kumekuwa na ongezeko la watalii hao nchini Uturuki toka mwezi Aprili.

Ni asilimia 9.2 ya watalii kutoka Ujerumani wameutembelea mji wa Istanbul kuanzia mwezi Januari hadi Juni mwaka 2017.Habari Zinazohusiana