Uturuki yauza  parachichi kwa mataifa  33 ulimwenguni

Uturuki  yauza parachichi kwa mataifa  33 ulimwenguni na kuchangia kuinua uchumi wake

1427975
Uturuki yauza  parachichi kwa mataifa  33 ulimwenguni


Uturuki  yauza parachichi kwa mataifa  33 ulimwenguni na kuchangia kuinua uchumi wake.

Tani 14 000 za parachichi  vimevuna Uturuki  katika kipindi cha mieka   mitano na kuingiza kiwango cha dola milioni  2,7 .

Kiwango hicho  kimepatikana katika mauzo ya nje .

Zao la parachichi  nchini Uturuki imekuwa miongoni mwa bidhaa ambazo zinainua uchumi na pato la kitaifa.

Kitengo cha  takwimu nchini Uturuki  kimetangaza kwamba  parachichi kutoka Uturuki zimeuzwa kwa wingi   nchini  Urusi, Rumania, Ukrania na Ujerumani.

Mauzo ya parachichi  kutoka Uturuki ni katika mataifa  33 .

Katika kipindi cha miaka mitano iliopita mauzo hayo yameongezeka mara  41.

Mwako uliopita, zoa la parachichi limeongezeka kwa asilimiia  33 ikilinganishwa na kipindi kama hicho  mwaka uliopita.

Zao la parachichi Uturuki  linapatikana katika eneo la fukwe za bahari ya Mediterania.
 Habari Zinazohusiana