Idadi ya watalii ulimwenguni kupungua kwa asilimia 58

Idadi ya watalii ulimwenguni inatabiriwa kupungua kwa  asilimia  58 mwala  2020

1413080
Idadi ya watalii ulimwenguni kupungua kwa asilimia 58


Idadi ya watalii ulimwenguni inatabiriwa kupungua kwa  asilimia  58 mwala  2020.

Shirika la kimataifa la watalii  limetabiri kuwa kiwango cha watalii mwaka  2020 huenda  kikapungua kwa asilimia  58  ulimwenguni kote.

Kiwango hicho kinadhaniwa kupungua kutokana na maambulizi ya virusi vya corona.

Makao makuu ya shirika hilo yakiwa mjini Madrid nchini Uhispania,  limechapisha  ripoti yake kuhusu athari za virusi vya corona ulimwenguni katika sekta ya utalii.

Kulingana na  tathmini iliotolewa  kiwango  cha watalii  mwaka  2020  kitapungua kwa asilimia  57 ikilinganishwa na mwaka  2019.
 Habari Zinazohusiana