Uchumi na Siasa

Uchumi na Siasa

Uchumi na Siasa

Kulingana na fuko la fedha la kimataifa na benki ya dunia kuhusu kipato ulimwenguni, matiaifa ulimwenguni yamepangwa kulingana na kipato chake katika makundi manne.

Makundi huyo  tunaweza kutaja kuwa  kundi la kwanza ni  kundi la kipato cha chini, kiwango cha wastani, kiwango cha kawaida na   kiwango cha juu.

 Orodha hiyo imetolewa kulingana na kipata  cha raia wake  na kufikia kuyaorodhesha mataifa hayo katika  makundi hayo manne tofauti.

Matifa yanaweza  kusalia katika makundi yaliomo kwa muda wa miaka tangu yalipoorodheshwa katika makundi tofauti. Na kutoka katika kundi moa kwenda katika kundi lingine ni jambo ambalo huchukuwa muda wa kutosha kwa miaka kadhaa.

 Mataifa   ambayo hufanya mabadiliko katika maendeleo ambayo yatakuwa na athari chanya katika jamii na  kuongeza kipato cha raia wake huwa  bila shaka yakipiga hatua na kuingia  kundi  ambalo linastahili kutokana na kşpato cha raia wake baada ya kupiga hatua hiyo.

Vile kinyume chake huwa kikikshuhudiwa katika mataifa kadhaa  ambapo raia wake kipato chake huwa kikipungua.

Malengo ya mataifa yote ni kujipata katika kundi amblao ilijieweka kama lengo lake na sio kurudi nyuma, ila hali hiyo inapojitokeza huwa ikisumbua wataalumu katika uchumi wakati wanapojaribu  kurejesha hali iliokuwa hapo awali bila ya mafaanikio au mafaanikio kupatika kwa shidaa na baada ya miaka mingini.

Baadhi ya mataifa hujikuta   yakiwa na mzigo mkubwa wa deni.

Katika mika kadhaa ya nyuma tumeshuhudia mabadiliko ambayo mfano wake uliohai ni Uturuki ambayo imeongeza kipato kwa raia wake na kuingia katika kundi  la kipato cha juu.

Uturuki katika sekta yake ya uchumi imepiga hatuo na kuingia katika kundi  la kipato cha juu kutokana na juhudi zake.Habari Zinazohusiana