Umuhimu wa akiba

Umuhimu wa akiba

Umuhimu wa akiba

Mashambulizi dhidi ya uchumi wa Uturuki yameshuhudiwa katika kipindi cha kilichopita na malengo yake bila shaka ilikuwa ni kudhoofisha skta ya uchumi ya Uturuki kwa kuwa tayari ilikuwa imepiga atua kubwa. 

Mashambulizi hayo ni kiashirio kuwa  uchumi wa Uturuki tayari ulikuwa  imara. Atua ambayo Uturuki imefikia katika sekta yake ya uchumi ni atua ambayo inaitaji kuzidi kuimarika na kutorudi nyuma hata mara moja.

Tunatakiwa kufahamu kuwa akiba ndio chanzo imara pekee cha  kukwamua  matatizo  iwapo yatattokea katika sekta ya uchumi. Na iwapo kuna  akiba basi  ukuwaji katika sekta  hiyo inakuwa sio jambo la kushangaza.

Hali hiyo imeonesha ni kiasi gani Uturuki imeweza kujikwamua katika tatizo ambalo lilikuwa limejitokeza, hivyo basi hatuna budi kusema kuwa  akina ina umuhimu mkubwa katika sekta ya uchumi.

Uturuki ni taifa ambalo linatambulika vema kuwa miongoni mwa mataifa ambayo uchumi wake upo juu na matumaini ya kuzidi kuimarika na kuwa miongoni mwa mataifa makubwa katika uchumi ulimwenguni. Uturuki imejiwekea malengo na sio ambo rahisi kuerejesha nyuma.

Inaendelea ...


Tagi: Uturuki , akiba , uchumi

Habari Zinazohusiana