"Benki kuu ya Uturuki inajitegemea"

Waziri wa fedha wa Uturuki akizungumza na kituo cha habari cha Reuters ameelezea jinzi benki kuu ya Uturuki ilivyo imara.

"Benki kuu ya Uturuki inajitegemea"

Waziri wa fedha wa Uturuki akizungumza na kituo cha habari cha Reuters ameelezea jinzi benki kuu ya Uturuki ilivyo imara.

Waziri Albayrak amesema kuwa benki kuu ya Uturuki inajitegemea na haihitaji msaada wa benki nyingine tofauti na ilivyokuwa katika nchini nyingine.

Ameeleza jinsi uchumi wa Uturuki utakavyoimarika kutokana na kupunguza kutumika kwa fedha za nje.

Uturuki imehahikisha inapambana na kudhibiti mfumuko wa bei.

Albayrak vilevile amesisitiza kuwa Uturuki haina mpango wa kuomba fedha IMF.

Licha ya mgogoro wa kiuchumi kati ya Marekani na Uturuki,mazoezi ya pamoja ya jeshi yanaendelea.Habari Zinazohusiana