Rais Erdoğan aendelea na ziara yake nchini Kirgizia

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan aendelea na ziara yake nchini Kirgizia

Rais Erdoğan aendelea na ziara yake nchini Kirgizia


Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan aendelea na ziara yake rasmi nchini Kirgizia ambapo pia amezungumzia kuhusu  matumizi ya sarafu ya Marekani katika soko la kimataifa.

Katika ziara yake hiyo rais wa Uturuki amependekeza  kushirikiana katka biashara kwa kutumia sarafu ya ndani au sarafu ya  kitaifa.

Rais Erdoğan ameshiriki katika mkutano wa 6 wa baraza la kituruki  uliofanyika  Ruh Ordo akiwepo pia rais wa Kirgizia Sooronbay Jeenbekov.

Katika mkutano huo rais wa Uturuki amesema kuwa matumizi ya sarafu ya Marekani katika soko la kimataifa imekuwa na kizuizi  katika biashara.Habari Zinazohusiana