Mauzo ya nje kutoka Uturuki yaongezeka kwa asilimia 11,6

Kitengo cha taifa cha takwimu cha Uturuki chafahamisha kuwa mauzo ya nje yameongezeka kwa asilimia 11,6

Mauzo ya nje kutoka Uturuki yaongezeka kwa asilimia 11,6

Uturuki katika kipindi cha mwezi Julai mwaka 2018. Taarifa kuhusu  ongezeko la mauzo ya nje  imetolewa na kitengo cha takwimu cha Uturuki TUIK katika  ripoti yake Jumatano.

Mauzo ya nje kuelekea katika mataifa ya Umoja wa Ulaya yameongezeka kwa asilimia 14,7 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2017 .

Ujerumani ndio la kwanza  barani Ulaya  kununua bidhaa kutoka Uturuki, ikifuatiwa na Uingereza, Marekani na Italia ambayo imetumia kiwango cha dola  milioin 750.Habari Zinazohusiana