Vyanzo vya uzalishaji wa nishati ya nyuklia vyaongozeka duniani

Waziri wa nishati ya Umoja wa falme za Kiarabu,Suhail al-Mazroui, alisema Jumatatu kuwa kuna vyanzo na mitambo vya nyuklia 474 katika nchi 30 ulimwenguni pote

837296
Vyanzo vya uzalishaji wa nishati ya nyuklia vyaongozeka duniani

 

Waziri wa nishati ya Umoja wa falme za Kiarabu,Suhail al-Mazroui, alisema Jumatatu kuwa kuna vyanzo na mitambo vya nyuklia 474 katika nchi 30 ulimwenguni pote.

Al-Mazroui aliongeza, wakati wa kuanzisha kongamano la mawaziri wa nishati ya nyuklia , katika mji mkuu Abu Dhabi, kwamba mitambo ya nyuklia hutoa karibu theluthi moja ya uzalishaji safi wa nishati duniani.

Umoa wa falme za Kiarabu ulitangaza Jumatatu kuwa utekelezaji wa mradi wa kuazlisha nishati ya nyuklia safi ya Barakah umefikia asilimia 84.

 Habari Zinazohusiana