Matatizo katika mitandao ya Facebook na Instagram

Facebook na Instagram

1618282
Matatizo katika mitandao ya Facebook na Instagram

Kulikuwa na shida ya upatikanaji wa majukwaa ya mitandao ya kijamii ya Instagram na Facebook.

Kulingana na habari katika Tovuti "downdetector.com", watumiaji wa Instagram na Facebook hawakupata huduma za mitandao hiyo kwa muda kadhaa.

Wakati hakuna na taarifa rasmi juu ya mada hiyo kutoka Instagram na Facebook, upatikanaji wa tovuti hizo mbili ulirejeshwa muda mfupi baadaye.Habari Zinazohusiana