Mabaki ya dinasor yenye miaka milioni 11 yagunduliwa nchini Canada

Mabaki ya aina mpya ya dinasor, tyrannosaur, yenye umri wa miaka milioni 11 yagunduliwa katika jimbo la Alberta nchini canada

Mabaki ya dinasor yenye miaka milioni 11 yagunduliwa nchini Canada

Katika jimbo la Alberta nchini Canada, mabaki ya  aina mpya ya dinasor (tyrannosaur) yenye umri wa miaka milioni 11 yamegunduliwa.

Timu ya wanasayansi ikiongozwa na  Dr. Jared Voris kutoka chuo kikuu cha Calgary imetangaza kwamba tyrannosaur ni aina ya dinasor ambaye alikuwa hafahamiki mpaka sasa.

Matokeo ya utafiti huo yameandikwa katika jarida la sayansi la "Journal of Cretaceous Research".Habari Zinazohusiana