Uturuki yauza simu zake za kisasa katika mataifa 33 ulimwenguni

Uturuki yauza siku zake za kisasa zinazotenegenezwa katika  shirika la General Mobil katika mataifa 33 ulimwenguni

Uturuki yauza simu zake za kisasa katika mataifa 33 ulimwenguni


Shirika la utenegezaji  wa simu za kisasa la Uturuki General Mobil limefahamisha ya kwamba kwa sasa linauza simu zake katika mataifa 33 ulimwenguni.

Mkurugenzi wa shirika hilo Sabahattin Yaman  amefahamisha Jumanne kuwa  shirika hilo limewekeza kiwango cha   milioini 100  za Lira  kwa ajili ya mradi huo mjini Istanbul.

Shirika hilo linataraji kupanua soko lake na kufikia mataifa 45 kabla ya mwaka 2018 kumalizika.

Hayo mkurugenzi wa shirika hilo ameyazungumza akiwa katika uzinduzi wa  toleo jipya lake la GM 9 Pro mjini Istanbul.
 Habari Zinazohusiana