Pakistani yasaini mkataba kununua helikopta 30 aina ya ATAK kutoka Uturuki

Jeshi la Pakistani lasaini mkataba na Uturuki kununua helikopta za kivita 30 aina ya ATAK zinazotengenezwa nchini Uturuki

Pakistani yasaini mkataba  kununua helikopta 30 aina  ya ATAK  kutoka Uturuki

Pakistani yasaini mkataba na Uturuki kununua helikopta 30 za kijeshi aina ya ATAK.  Mkataba huo ni mkataba mkubwa  kwa idara ya ulinzi  ya Uturuki kuuza  nje.  Mauzo ya nj ya jeshi la Uturuki  yamongezeka baada ya helikopta hizo kufanyiwa majaribio.

Helikopta hizo aina ya T129 ATAK zimesainiwa  kuuzwa Pakistani Ijumaa.

Shirika la Uturuki abalo linahusika na utengezaji wa vifaa vya anga TUSAS ni mshirika wa Uturuki katika mktaba huo na jeshi la Pakistani.

Shirika la TUSAS litahusika na ukarabati wa helikopta hizo na kutoa mafunzo kwa wanajeshi  marubani wa jeshi la Pakistani.

 Habari Zinazohusiana